DP Rigathi: Serikali ya Kenya Kwanza imeangalia mambo ya wapwani; tumewapatia mawaziri, Speaker wa Senate, Principal Secretaries, commissioner of Parliamentary service commission na deputy majority leader na ni matumaini yetu mtatuunga hapo mbele 100%