Obado impeachment

Believe it when it happens. Hizi ni kelele tu za ku-excite the masses.

Halafu walisema hawata-comment on kesi ya Baboon Owino kwa sababu iko kortini. Kwani ya Obado imetupiliwa mbali ndio watoe comment?

Kivutha 2022. Kikiumana ni Ruto.
The last time I saw Obado in the Lootall's meetings before all governors cowed. So yes, impeachment will sail thru haraka sana. Na tunajua Busia kulikuwa ka kesi za wizi but that wouldn't be mentioned because the cases are driven by siasa.
 
Back
Top