Ngimanene ya Kavagara

Ngimanene na Muchere

Elder Lister
Kuna hii ugali ya Joy Millers inajiita Raha Premium 🌽 flour, madam Ngimanene aliona apike, nawaambia si hio ugali ilikuwa white, very white, extremely white. Mpaka nikamuuliza kwani alipika ngimanene na jik ikuwe white hivyo, animalize achukue plantation ya matharo.
Hio Ngima is abnormally white with a rather bland taste. Nafikiri imetolewo kila kitu kazi yake ni kushibisha with 0 nutritional value. Sioni ikiwahi pikwa kwangu tena, itapikia mbweha the 🐶 ngimanene ya kula na nguku
 
Kukula ugali ya white ni kama kupatia mtu food yako akutafunie alafu akutemee kwa mdomo umeze.
 
Back
Top