Meria
Elder Lister
Mwanafunzi huyo ni kati ya maelfu ambao walianza mtihani wao wa kitaifa mnamo Jumatatu.
“Alikuwa tayari kufanya mtihani asubuhi lakini akaanza kupata maumivu ya kujifungua kabla mtihani uanze. Alilazwa katika zahanati ya Pesi ambapo alijifungua mtoto wa kiume, akaruhusiwa kupumzika kisha aendelee na mtihani lakini akiwa hapo alivuja damu nyingi,” akasema afisa wa utawala.
Hapo ndipo alihamishwa hadi hospitali ya rufaa ya Nyahururu kwa ambulensi pamoja na mtoto wake.
.
From delivery room to exam room, hii ni haki kweli?