Monday Night Football

mzeiya

Elder Lister
Dakika ya 32 na Liverpool wako na bao sufuri pale kwa uga wao wa Anfield nao Crystal Palace, wapinzao wao kutoka London wako na bao moja kupitia Wilfried Zaha.

Kaende sana 🔥
 
  • Like
Reactions: Jug
@Denis Young na wengineo, team yenu iko down hadi lazima I accept cookies to see it hahahaha
1660633267131.png
 
Back
Top