@Meria
Leta mbica
Wajinga wamechoma dorm na wamerudi tu leo. What's wrong with these kids?
Aiiiiiii.Wajinga wamechoma dorm na wamerudi tu leo. What's wrong with these kids?
Aiiiiiii.
Hii huwezi niambia ni watoto wamechoma.
Haigweskani!
The administration has to be investigated.
Si hii shule iko kwa kambi ya Jeshi or close to it
Kwani kambi ya jeshi iko mbunguni? Brary!
Hapa hakuna kurudi home...make them sleep in tents.