Dynasties must fallPeter Kenneth, hahaha
RWNBP
Mpaka gafment apologist @Mwalimu-G na gafment scumbags @Field Marshal ilhali Konyagz ameficha mali off shore aepuke tax?Kila mtu tunawachwa na deni ya 180K and no one seems concerned apart from Mudavadi who raises the issue from time to time.
Mnaona madynasty wanaongea tu na mabwenyenye, hawawezi ita hustler kwa hoteli.... Tunawaona