Jug
Elder Lister
Wadau nimejaza ii form ya application of Good Conduct lakini nimefika uko mbele kubook appointment ya fingerprints naona earliest naweza ii pata ni Sept. 1 kwa HQ ya vijana wa Kinoti. Swali ni can i change the Booking Appointment Centre to say Huduma Centre Kajiado and yet nikijaza nilieka Huduma Centre GPO. Sande Sana