Baridiiiii

Aviator

Elder Lister
Wadau nimekua MIA due to some biz matters. Am back and I hate the cold in this city of ours.
But Greek say "cirìaga na mbugi ona kùrì ùgwati". Loosely translated to mean there's warmth in numbers.
IMG_20210722_182644_181.jpg
 
Hii iko sawa,

When you get time jaribu kukaa anywhere betwixt Soko Mjinga and Fly over for an hour. Ustukie meno zinagongana at the speed of acceleration due to gravity.... And it's automatic
Years back nilienda kubuy roofing timber pale flyover .Nikajipata hapo flyover at around 6pm , my friend nilisimama stage kabaridi kaka nipata .Niliingia Kwa butchery ilikuwa hapo nikafukuza baridi na nyama ya kondoo and soup .
 
Some years back we were on our way to siaya for a funeral, sasa majamaa wakajindunga matusker pale citrus Ngara hadi 11pm . By the time we reached flyover kila mtu Alitaka kushuka akojoee
Kufungua mlango wa gari none could dare jump out the place was freezing ! Had to stop at naivasha
 
Last edited:
Years back nilienda kubuy roofing timber pale flyover .Nikajipata hapo flyover at around 6pm , my friend nilisimama stage kabaridi kaka nipata .Niliingia Kwa butchery ilikuwa hapo nikafukuza baridi na nyama ya kondoo and soup .

Good.

Alafu ufike Nyambari that place kuanza 4.30 pm is a cold place.

When Miguna was locked up at Lari, just believe him when he goes ruckus about the place.
 
Back
Top