Mwigizaji wa Inspekta Mwala Ngure Apatikana Akiwa Salama Baada ya Kutoweka kwa Siku 3
4 hours ago by Shillah Mwadosho
- Mwigizaji wa Inspekta Mwala Bonventure Ngure amepatikana baada ya familia yake kumtafuta kwa siku 3 bila mafanikio
- Baada ya jamaa wake kutangaza kutoweka kwake mitamdaoni, jamaa mmoja alimuona na kuifahamisha familia yake kisha wakafanikiwa kumpata - Alipatikana leo asubuhi katika Kituo cha Polisi cha Athi River Mwigizaji wa Inpekta Mwala Bonventure Wangara maarufu kama Ngure amepatikana akiwa salama salmini.