labda ni boy alinyimwa, wakakosana, wakagombana, na akaamua kuchapa roundi ndio atulie
kuulizwa anaenda wapi, akasema, no vaaa. (hio no Vaa ikakua kilometers kadhaa)
na hivyo ndio walijipata Kenya-Ukambani, na madame wao wakasema hakuna kunyimana tena.