Hapo kobil pia mimi nime lipa tu rent miezi kadhaa hapo kwa iyo street ya penda Niko na hekaya countless
1. Kuamua kukua romantic, nika jipeleka rooftop kuanua nguo coz mubibi alikua amejam alafu niki rudi instead ya kuingia kwangu naingia kwa tu slayqweens na waka ni invite mzinga .....long...