Wadau iko jalopy inapatia mtu stress. Major service ilifanyiwa ii Jan Shocks za mbele aka badilisha since zilikuwa zimechapa. Badaa ya wiki kadhaa Shock ya Left ya mbele "ikamwaga" akaibadilisha.
Wiki ka mbili ama tatu zimepita gari imekuwa tu sawa. Lakini jana iyo Shock ya Left "imemwaga"...