Hehehe, kuna a future JazzLady yellow yellow alijiingiza kwa Crowd 1 nikamuambia hiyo ni ukora amejiingiza, akanikasirikia na akasema sina value kwa sababu nimekataa kuingia box. Fast forward a month, akajiingiza kwa ingine inajiita Qubittech. Msichana aliuza vyombo za nyumba na mashini za...
Wanjigi was only there for one year if I remember correctly. Hizo zingine alijifunza kwingine.
Sasa kuna breed ingine inakuja, mtoto wa Murathe anajiita Davidson Gatuhi. Jamaa spoilt, hakuna kitu ya maana alifanya shule na anataka kuwa MP.
Sasa hapa ndio shida ya Mkenya huwa. Hata ukiwa na fikira zinazotofautiana na hawa fake leaders, wanaona unawapinga na lazima wakutie "adhabu". Hakuna nafasi ya kujadili mienendo/mwelekeo/mawazo kikamilifu ili kuipata mwelekeo unaofaa.
Hakuna maendeleo nchii hii itawahi ona kama huu ndio...