Search results

  1. JazzMan

    Coming to Nairobi

    Btw excellent topic. Hizi ni vitu wengine kama mimi wenye tumezaliwa na kuishi Nairobi miaka yetu yote huwa hatujui ama hatufikirii. Nakumbuka my first time nikienda attachment Diani nikaulizwa natoka wapi, nikajibu Nairobi. Nikaambiwa Nairobi sio nyumbani kwa mtu, ni mji watu huenda kutafuta...
  2. JazzMan

    Lukaku

    Change can discombobulate and make people say things, especially people prone to speaking without thinking. Akishazoea na aanze kufunga mabao ovyo atarudi tena kusema alikosea vile alisema kuhusu Tuchel na system yake.
  3. JazzMan

    KWS,How To Talk To Hyenas...

    Na @Meria leo kwani amenyanganywa simu na Mutheu? Hajaonekana siku nzima
  4. JazzMan

    Wednesday Night Matches

    Mnaona vile defenders wanarushwa kama gunia kwa mikono ya Lukaku?
  5. JazzMan

    Wednesday Night Matches

    Blue is the colour...
  6. JazzMan

    Fixed

    These people will say and do anything to exploit the resources of other countries, to hell with the people of the exploited country
  7. JazzMan

    5 TV Settings That Should be ILLEGAL (for Harming Picture Quality)

    Juzi nimepata mzae amenunua ka itel 32 inch ya kuona kwa man cave yake. Rangi mbovu that looks washed out, especially the blacks halafu it's too bright na huwezi reduce brightness
  8. JazzMan

    Bill with amendments

    What was the amendment about? Nimekuwa holiday, sijakuwa nikifata habari
  9. JazzMan

    Omicron and Kids

    Nimesoma mahali hii ndio variant inaleta immunity. How true is this?
  10. JazzMan

    Kateam ka Meria kamemaliswo

    @Meria nipe ruhusa ya ku-crack the whip. Watu hawatakuzoea hivi asubuhi mapema...
  11. JazzMan

    life in Africa

    Hapo kwa VAR sana sana. Knowing people in right positions automatically gives you a leg up.
  12. JazzMan

    watu wa rainbow

    Hii ndio NGO yako unaenda kuuzia wazungu wa UK ama unaenda kukamuliwa?
  13. JazzMan

    watu wa rainbow

    Hawawezi vuka Moi Avenue na hiyo ujinga, ni mashinani watakanyaga kweli? Kule kwetu wanaweza tandikwa na warushwe kwa mto iko na mamba. Hatutambui upuzi
  14. JazzMan

    The "5th"

    The idiot supported violence against Kenyans when he was in good graces with macho nyanya. Let him reap the fruits of his efforts.
  15. JazzMan

    Hatupangwi: Cleophas malala edition

    Abaluhya bange. Anyway, msaliti can go to hell and Madimoni is a non-starter.
  16. JazzMan

    Holiday Futbol Joke No. 360

    Weh, finally, my beloved Chelsea, the flame is still alight. Those misses by Mount and CHO should be worked on.
  17. JazzMan

    Today in history

    The only people who made the great satan quake in their boots. I hope China gets to this level soon.
  18. JazzMan

    D- shoots his senior

    Exactly my sentiments.
  19. JazzMan

    D- shoots his senior

    Exactly why policing in this country needs a fresh start. The current rank and file is too rotten to save.
  20. JazzMan

    Holiday Futbol Joke No. 360

    What do you mean finally scores? He's missed the last 11 games with injury + covid.
Back
Top