Hawa old generation huwa wameamini hakuna kitu cha maana kinaweza endelezwa nchi hii. For something to be of the highest quality, it has to come from outside the country. Hii ndio maana unaona kwa marketing some ads have to mention that something is manufactured in UK, Germany, Turkey or Japan.