Sawa, endeleeni kusukuma wheelbarrow. Hiyo itabidi tutii. Even if we dislike it.
Lakini Kwa kuniibia is where I draw the line. Kwanza hiyo kesi you complain about huniuma sana. I employed a young man to take care of an ongoing construction. Ni zile construction za mtu Hana pesa on and off...