Mdau, TV rights ziliuziwa Chinese broadcaster Startimes, hata game mbili hawawezi peana for free. BBC hupewa 3 free epl games weekend. Si kila mtu anaweza afford 1k per month so ndio maana Watu walisahau kuhusu league yetu.
Hao ni watoto (mostly teenagers) kazi yao ni ku -argue upuus. Team yao ikipigwa wako Na sacrificial lamb wa kutusi. Juzi tu All UK social media bigwigs waliswitch off social media accounts for a whole weekend ju ya racism