Sasa after hiyo yote, weka curfew na ufunge bar zote.
Pia kuna fuel hao watu wote kwa hiyo ecosystem wanatumia.
Stima za kuwasha mataa kwa club, kucharge simu ukiwa home ndio uende kubrowse internet kwa club :LOL:. KP ndio hao pia wanapoteza a huge chunk of bills.
Vinyozi wa kuline up ndio...