1. So kama unaenda kazi, uGoogle, ikuoneshe jam, utaambia mdosi aje? Mdosi ni muindi na uko second warning.
2. Google haikuambia watu "10 hrs to Mlolongo" jana.
3. So many sections of M Road are inaccessible from any other roads. UkiGoogle upate jam, uta-fly?