Yea, si ngumu kwao considering Japan is a major source of autoparts, ni kama BJ 50 iharibikie Laikipia, the fabricators (not manufacturers) will be able to source for the parts needed there. Ama hurubaro iharibikie Shauri Moyo.
A few months back Maina Kageni posted the "Boma Yangu" houses at parkroad Ngara on FB, ile matusi alipata wacha tu, mpaka watu wakaanza kusema ni scam cos of his association with them.