Mzee Wang'ondu akilewa husema ati hio kitu ya Waithera wa Silent bar, ilimeza Buroti yake na tingatinga. Alaf anatusi Maina wa boda anamwuliza " Wee maina ukiingia hapo ndani ya Waithera unaskianga tingatinga yangu na buroti zilipotelea hapo?"
Hawa watu, ai apana. Tena between Sobea and Salgaa, wamepanda avocados alaf wanajenga processing factory, then wakue sole exporters of processed avocado products, ndio wadictate bei tena.
Na vile many coasterians wanaamini ati most of their foods i.e; chapati, pilau and other mapochopocho haziwezi pikwa na gesi (gas) ati haitaiva vizuri, watafanya nini?