What I underwent last year, sitawahi sahau. Nilikua nimehire 2 ladies na mzee mmoja, wamama ni wa kuharvest na mzee wa kuzipiga. The material day, mzee akaenda MIA, nikasema nijaribu kuzipiga kabla nipate casual labourer mwingine. Sema kupata blisters. Hapo na hapo nilisema mimi na ukulima yenye...