He actually pointed out that akasema haiwezi watosha na huko ni mbali, Omosh atafutiwe tu furnished apartments mbili pale Pangani na muache kumsumbua akiwaitisha pesa
Thankfully Waithera kia Kanyotu Bar & Lodging hakitakula pesa yako ya kuchangisha saana. Labda mwende green lodging na saa hii najua Ndeiya kuna baridi kuruka.
Mshahara moja hua haitoshi brathe. Side hustle lazima, kwanza hio ya software ni very lucrative sababu ataservice her acquaintances; bosses, mahabusu, colleagues and complainants.