Tough times zimefanya wanaume wakue daredevils, mpaka wana disarm @Pamba 1 and continue to ransack the place for a cool 15 minutes. Hope hii desperation wouldn't take Kenya Mzansi route. Our leaders should learn from what is happening in the region.
Some people's slowness is underrated, kuna mtu hapa akili yake iko kwa jamaa wa kieleweke. Wengine wamepita hio listing yako wakidhani it's about politics.
Since Monday morning Kibarani ilikua mambo baad , watu wamelilia SGR aje, watoto wa shule wakiachwa na train. The train had to be delayed for 7 minutes because it was total chaos na bado watu wengi waliachwa, including yours truly.
Kama vile wewe hueka kipara?! BTW vile kuko huku, usijaribu kufika hapa, 1. Upepo itakuinua inu inu 2. Kunguru (bird) wanaeza kuangushia mfupa kwa kipara ndio watoe bone marrow.
Kwa kijiji mkachinja mbuzi na mtu, yeye akule karibu nusu , abakishie kijiji, the rest na marondo na kichwa then awambie bill ni yenu, huyo ni mtu mzuri kweli?