Umenikumbusha siku moja on a sunday, nimeingia butcher ya place inaitwa Drive In, Nakuru, penye Platinum 7D is, tukiwa wasee watatu na uchumi ilikua chini tukapimisha matush half na nyama ya 200/-, na firifiri kama mboga(it discourages ombaomba kama... ). Hio mix ikipigwa poa hua spot on. Ubaya...