Around the turn of the millenium, nakumbuka kuna msee alikua amehang kwa mlango ya nyuma pale Ring road Ngara, kwa Shell ya Kariokor, na kulikua na potholes, acha basi igonge hio shimo na kumkata mguu (foot), out of shock jamaa alianguka akajaribu kuhepa ni ka amefanya maosa, but uchungu...