Nimewai lala Kayole police station cos ya kuita karao flani crew nikiwa leave na nilikua nimeachilia mandevu and nywele. Kuniweka kwa cruiser nikawashow nitatolewa asubuhi na nduthi(outriders) za auntie yangu Lucy Kibaki, lets say sio mimi nilikua naongea but Iceberg kadhaa. This did not auger...