Landcruiser kama hio ikipata accident, unaweza dhani imewekwa curtains, vile airbags hutoka like everywhere. Their safety is state of the art but on the flip side, they will kill you if you hadn't belted up.
Rumour has it that ameambia jamii ya Kipkaa wamsamehea hakuwa na ubaya, alikula hio pesa akitafuta hio cheo kubwa na akipata hio cheo priority itakuwa kuwapa haki yao. Ni kama mtu kukwambia umgoje ile deni yako ya thao nimewekelea mega jackpot nikishinda nikakulipa double.