Knee jack reaction. Wangecrack down on all matatus, washike wale wametamper na speed governors, cos siku hizi long distance matatus ni kama zote hazina governors. Unajipata kwa barabara uko speed ya 100km/hr alaf unapitwa na North Rift shuttle ni kama umesimama