The accused has a right to know the evidence presented against them. For all we know, the accusations could be false.
If someone has the stones to make an accusation against someone, they should have the stones to defend that accusation in a court of law.
And the question is, why is this girl...
My dad alikuwa na habit ya kubeba one of the boys akienda kukunywa ndio awe na designated driver masaa za kurudi nyumbani. Mimi alinipata nikiwa form one. All I had ever done kwa gari ni kuweka gear one na kuinua clutch kidogo but hiyo siku ilinibidi ikuwe trial by fire.
Ilikuwa a first...
Hapa ndio utamu ya kuwa na Mitsubishi Galant Ralliart. Tuliflash sport plus mode ya Evo 10, kazi tu inakuwanga kutumia paddles kutoka rironi hadi Kisumu. Huko mbele traffic sio noma vile, tunawachia yule hana experience mob ajijenge.
Mimi na siblings. Tangu mzae atuwache, matha ako peke yake. Tunachapa ma shopping zikienda na matunda, "jet fuel", mboga na mahindi ya kusaga tukirudi. Na pia tukienda lazima tuzurure kiasi