Kabisa!! Watu waling'ang'ana kupigia mnafik kura halafu wanafunika makosa zake kwa kuwekelea Wakenya. Wacha huyo jamaa atoke kwa kiti ndio tutajua vile amenyakua kila kitu, hii wanawekelea wengine ni ile walishindwa kufikia
Huwa mnanifurahisha sana. Uwizi za wakalenjin ni Ruto anaiba, lakini zile kenyatta ametajwa huwa hamna shughuli. I was right to give up on this country ever moving forward with this kind of myopia.