Ah, my fren. Welcome to the Senate, lakini kabla utoe viatu na socks, itakubidi umesanitise kwanza...
Ukishajikausha, tuko na healing potion kutoka kwa mlogi wa kijiji @Meria iko na herbal extracts kama mnazi unaweza jipaka...
Ukishang'aa kama fiatu fya David Rudisha, unaweza fanya hivi...