My fren, karibu kijiji. Kwa wakati huu tunapigana na corona, ni lazima. Tusanitise. Haiya, fuata wenzako haraka upesi...
Kisha, tuko na lotion maalum, imetengenzwa kwa kutumia ingredients za kienyeji kama muarubaini na mnazi. Jipake kila mahali mpaka kati kati ya kinyambis
Halafu ukingoja...