This is the nonsense najaribu kunavigate huku na ni research nafanya ya beater ya kunikimbiza ocha nayo once in a while. Jamaa zinauza Suzuki Grand Vitara ya '99 eti 550k. Lakini nimeona gari ziko na proper pricing ni Honda CRV RD1,2 na 3. Between 300k na 400k unapata unit safi