Ni blip kidogo. Midfield mzima is injured, inabidi number 10s Mason Mount, Ruben Loftus Cheek na Barkley wacheze hapo kati kati. Hata game vs Zenit ilikuwa ni Reece James, a right back, playing in midfield.
Wacha Kovacic, Kante na Jorginho wapone vizuri Chelsea warudi form.