Search results

  1. JazzMan

    Antivaxxers

    Hiyo tweet ya kwanza ni ya kufurahisha wajinga tu. How does what the teacher did have to do with looking out for yourself? If someone doesn't trust something or take your word for it, educate them or show them research to prove them wrong. Ridiculing doesn't help. Pertinent questions have been...
  2. JazzMan

    Mark X

    Siwes guza levorg. Utengenze kitu ya maana halafu uweke CVT. Saitan. Anyway, mimi sio mtu wa Subaru but in my future garage, a 2 litre turbocharged Legacy wagon lazima iwe huko ndani inagather dust alongside my future Mitsu Evo
  3. JazzMan

    Mark X

    When I buy a used car, I always go for the larger engines. Reason? 1. Kenyans tend to fear the consumption part, which means those engines were somewhat gently used. Unaweza pata the car had been parked on weekdays, inaonekana weekends pekee. 2. By virtue of being a large engine = more pawa...
  4. JazzMan

    Toyota EVs

    Sisi wa kuchapa 450 km Nairobi to wherever tuna-aspire kuwa na turbo-diesels, sio vitu zinacharge kama tablet ya mtoto tukifika Narok ama Mtito Andei
  5. JazzMan

    cbc not going anywhere

    Pewa unachotaka unitumie paybill
  6. JazzMan

    Tuwache kulisha batoto GMO foods

    Hapa ndio shida inaanzia. Lakini huyu anakaa ni kama alifanyiwa lipo injection
  7. JazzMan

    Tuwache kulisha batoto GMO foods

    Mpaka anaoshwa kama ng'ombe. Are you sure hii sio ugonjwa?
  8. JazzMan

    Where can I get this and at what price?

    Pima weight na dimensions. Standard shipping charges huwa Kes 1500/kg
  9. JazzMan

    cbc not going anywhere

    People aren't born with the right thinking skills, that's why people need to be taught the right way to think Not every new plan is for the best of the people the plan targets. Labelling opposition to said plans as emotional compulsions means you have nothing of note to offer in defence of...
  10. JazzMan

    My choice

    Ndio maana yule jamaa wa mabarabara alikuwa na real estate unexplainable
  11. JazzMan

    cbc not going anywhere

    You will be subservient to dynasties, whether you like it or not.
  12. JazzMan

    Wah, enyewe these people hate Black People

    Hiyo appeal itaenda through ama? Mimi najua tu VAR
  13. JazzMan

    Wah, enyewe these people hate Black People

    @mzeiya njoo unisaidie kuchambua hii. Hii si ni chuki?
  14. JazzMan

    UAE Meets Big Boy Nigeria

    Sasa hapa ndio wale jamaa wanaitwa sick man of Embakasi wangekulia. ET pia wako hohe hahe.
  15. JazzMan

    ucl draw

    Short Story
  16. JazzMan

    ucl draw

  17. JazzMan

    iko kazi

    Niko na shamba, "nimejenga nyumba", sasa naweza anza kujifunza hizi vitu kama kuendesha turela. Nikifika miaka ya kustaafu, naweza simulia hekaya kibao kwa wale waliishi kwa maofisi jumatatu hadi ijumaa, na kwenye vilabu wikendi.
  18. JazzMan

    Fully Vaccinated SatAfrican prezzo tests positive of Covid

    Here is the CDC definition of the Poliovirus. In it, they mention once immunized, one cannot catch the disease. Those who develop the disease are people who are unvaccinated. https://www.cdc.gov/vaccines/vpd/polio/hcp/vaccine-derived-poliovirus-faq.html The following research mentions only...
  19. JazzMan

    Fully Vaccinated SatAfrican prezzo tests positive of Covid

    Nimeleta yangu. Wewe leta yako that says otherwise.
Back
Top