Btw excellent topic. Hizi ni vitu wengine kama mimi wenye tumezaliwa na kuishi Nairobi miaka yetu yote huwa hatujui ama hatufikirii.
Nakumbuka my first time nikienda attachment Diani nikaulizwa natoka wapi, nikajibu Nairobi. Nikaambiwa Nairobi sio nyumbani kwa mtu, ni mji watu huenda kutafuta...