Search results

  1. JazzMan

    Regarding Mama Ngina's LAST WILL AND TESTAMENT

    This thing of acquiring land came with mkoloni. Land was communal for many communities. That said, akina kenyatta walipiga watu stick by denying them the opportunity to acquire land affordably, and even returning land to displaced people. In this new system, that denial was the same as...
  2. JazzMan

    BBI Ruling: Official Thread

    Aih priss, tuwache senseshenalism. BBI is as dead as kenyatta snr
  3. JazzMan

    BBI Ruling: Official Thread

    Mnachoma na hizi snippets zenu. This thing is as dead as a dodo
  4. JazzMan

    BBI Ruling: Official Thread

    Kesho I have to babysit a young man interested in these court procedures. Mniombee nisijinyonge na chai because it will be a long day.
  5. JazzMan

    Waitress wa Nairobi part 2

    It's more interesting than these assimio and udaku threads
  6. JazzMan

    Waitress wa Nairobi part 2

    BRING MORE!!!
  7. JazzMan

    Konyagi kurukwa na rao peupe,atasema kwa mum

    Yaani sina appetite ya hii siasa kapsaa. Tafadhali, mlete eye drops, hii upuzi ibaki kwa magazeti
  8. JazzMan

    Suggest good Kenyan YouTube channels.

    Jaribu Dave Mani. They aren't Kenyans but have gone to many parks, conservancies and hotels in this cuntry in comparison to most of us.
  9. JazzMan

    AOB 24th March, 20202

  10. JazzMan

    Tumefika sasa kwa unga..10 shillings more for a 2kg packet

    Hamia unga ya njugu, millet and these other tradishenel starches. Hawa cartels have no control on such.
  11. JazzMan

    Sandalwood: All about

    Hiyo itakuwa in 20 years. Nimeona lazima nipate licenses kutoka KEFRI, KWS na KFS halafu pia miti zikuwe
  12. JazzMan

    OKIYA. HII TABIA ITAANGUSHA BUTCHERY

    Hiyo sasa ni ugali ama ni malondo? (ile crust huwa inabaki kwa sufuria ya ugali)
  13. JazzMan

    The 'Only Man' In Kibaki's Cabinet...

    You mean abab ya @Okiya mimi siwezi ambatana na msaliti
  14. JazzMan

    Sandalwood: All about

    Ahsanteni sana. Nimepata plan ya long term future, sio kutegemea shares za sacco na bonds milele.
  15. JazzMan

    Sandalwood: All about

    Hii si naweza panda pale Busia ama cartel watanikujia?
  16. JazzMan

    Expressway Test Runs:Ksh 440 For 7 Minutes

    There is another factor in productivity we tend to ignore: time. Saa zingine time may not be on your side, in such a situation, utatoboka tu. Ni kama kujaribu kuenda Busia na kadudu ndio usitumie mafuta mingi lakini kitambo ufike umechoka kama punda. Ungetumia a 2.4l Vanguard can get you there...
  17. JazzMan

    Old P.C upgrade, M.2 NVME SSD via PCIE PORT

    Najaribu kuamsha an old laptop for an autistic nephew. Nimeingia mle nikafanya usafi na kubadilisha mpaka thermal paste. Baada ya kuinstall Windows 10 nikaona nimefanya upus. Wacha nikatafute something newer from eBay
  18. JazzMan

    Old P.C upgrade, M.2 NVME SSD via PCIE PORT

    Jungus hate what they can't control. Those people live in a fucked up society.
Back
Top