Alafu ata ukiwa na pesa zako
Unakutana na corruption kila mahli, especially ukitaka kufanya kitu major.
Kuna wasee wamekatalia diaspora na shida yao na .ke sio siasa/uongozi duni, shida yao ni the corrupt society, waizi sio polisi na waiguru types pekee, its the whole population that is rotten...