True. There was a weekend I had over 100 k pale mshwari. Wakakanyanga wire. I had like 2k pekee kwa wallet. I never used to carry bank cards. Sema sato ndefu. Ilibidi mpesa iwe ya petty cash pekee.
System ya majambazi.
Do you realize he is giving them the nod to go rogue ?
Yaani, we take care of our own.
Hata nyinyi mkashikwa kesho tutasimama na nyinyi!.
God be with us.