SMH Tunawacheka ndugu zetu Watanzania ilhali mikakati ya kupambana na hili janga la korona ni nadra na duni hapa kwetu Kenya. Curfew, impractical social distancing and masks donned on for the benefit of police.... Hatukatai Korona ipo but we should not be celebrating the bereavement of our...