That reminds me....
Many moons ago, tulikuwa tunawatch ball kwa sports bar alafu kuna jamaa fulani alikuwa ameshikisha jaba noma sana. Ball ilikuwa ya Man U na Liverpool, Gerrard scored then Chicharito equalized dakika ya 81. Mechi ikielekea ukingoni Nani akaangushwa and he made the most of, it...