You and I were not there when it started
We don't know where it's coming from or where it's heading to....
Why don't we bury down apartheid, bury down discrimination......
Lucky Dube
Hii stori ya mvua ni ya ajabu sana pande hizi za S.W. Kajiado, the environs of Namanga to be precise. Hapa ni light rains na manyunyu all the way upto Il Bissil where proper rains have pounded.
Kabisaa!! Hii ndiyo ile ngoma ilinivutia kwa reggae nikiwa kipii kidogo. I remember I used to hear it while passing by a shop owned by a mnati(didn't know then) and he used to give me chewing gum ilikuwa inaitwa Pussycat(ziliendaga wapi?)...