Leo kuna mwenye tumepatana hapo Ihururu kwa escarpment, pale you can see Nyeri High School huko chini. I was going uphill and the bugger alikua anateremka. Jamaa amelalia nduthi kama bed, ni mikono tu ndio ziko kwa handlebars. Mimi nimeingiza baridi coz of the cliff right next to his lane, him...