@JazzMan ingia na kijana pale down town Sharja, mpige lap kwa hizo computer shops zote checking out all the merchandise on offer. Shipping is the easiest bit. For shipment, unaweza tumia akina bingwa ama pia uingie pale Deira city centre upatane na very many shiny eye shipping agents.