my 1st time kukula omena, i was in form 2 2nd term manze, diet ya shule ni githeri na ugali(na nyama moja) interchanging. Jua ya August imetuchapa hadi kwa mfuko hauwezi fika hata canteen. So this lucky day, tumepewa punishment ya kuosha DH before watu waingie lunj time wabonde githeri. This day...