Search results

  1. YoungD

    Being a Shylock

    nataka freezer btwn 200&250 ltrs mbei ya senyetor.
  2. YoungD

    Kanairo sio mchezo even for kids

    Middle class ni meffi. Highridge(sp) primary school in parklands is almost shutting down due to lack of students. btw 100m away is a police housing estate. Hao pamba wanaprefer kupeleka watoto Hospital hill/visa oshwal/westlands primary where u pay North of 50k for admission and they are all...
  3. YoungD

    Huyu mama amenipea hopes. She's called Yummy mummy

    kama unataka ku cut weight, nyama lazina utawachana nayo including kuku. fish sijui story zake. The trick ni ku improve digestion so that all the fat stored in ur body ichomwe.
  4. YoungD

    Huyu mama amenipea hopes. She's called Yummy mummy

    started in October last year, so give or take 6months, inaumiza mfuko lakini coz I have to go shopping for new clothes. Was waist 38 and even 40 at somepoint in 2017 na saa hii 36 ni kubwa kiasi. Nyama hufanya unaongeza weight sana coz of slow digestion. Nimeona umeambiwa hapo juu u try keto...
  5. YoungD

    Huyu mama amenipea hopes. She's called Yummy mummy

    time... Wimbi is pure protein and not carbs. Ngwaci on the other hand is very rich on fibre and works magic on digestion.
  6. YoungD

    Huyu mama amenipea hopes. She's called Yummy mummy

    @okis, the way I did it, I stopped eating carbohydrates kabisa ie ugali, bread, rice, potatoes etc nikawacha fombe na nyama for a while then my breakfast was porridge(wimbi+groundnuts+pumpkin seeds+terere) na kuteremsha na ngwaci(purple and yellow varieties) lunj nakula mboga or plant proteins...
  7. YoungD

    Dagoretti Kichinjio

    Ndumboini is the easiest since he is in Nairobi, but pia aingie mashinani ajuane na wakulima. Ndumboini pork goes for about 260 a koli but unaweza pata mkulima anakuuzia 200 bob a kilo. Its all about margins but Okis ni mtu ya mathematics so anaelewa hiyo.
  8. YoungD

    Dagoretti Kichinjio

    Not a bad idea but tembelea pork eateries kwanza upate ideas especially on the cooking styles. Ruaka is a good place to start ur research hapo opposite quick mart.
  9. YoungD

    Dagoretti Kichinjio

    ongea na mimi poa, I'm there everyday getting meat for my butchery. Saa hii nyama poa imepanda bei and goes for 350bob and above a kilo. Pia kupata ngombe ndogo hivyo ni tricky kiasi coz ni hot cake. Your option might be mkono ya ngombe.
  10. YoungD

    Arsene and Arsenal... The Takeover

    Afadhali manze, kronke arudishe makende america.
  11. YoungD

    After this favour, sitawauliza anything wakubwa

    shida yetu wakenya na 'copycat mentality' huwa nini??
  12. YoungD

    Homa si ya kawaida .

    Mimi yangu ilianza na sore throat last week sasa natumia handkerchief 3 every day juu ya makamasi
  13. YoungD

    Suez Canal Blocked by HUGE Container Ship

    the earth is FLAT :cool:
  14. YoungD

    Habiru and Shasu

    yaani hamjaona magoti mahali??
  15. YoungD

    Relief for KQ... & Other Stories

    hiyo ya pope na huyo alkebab ni noma sana!
  16. YoungD

    Muguga MCA is dead

    yes, kupanda na hiyo barabara.
  17. YoungD

    Muguga MCA is dead

    inaanzia hapo wangige primary kupanda na hiyo barabara including all of muthumu hadi karibu ufike ruku.
  18. YoungD

    Muguga MCA is dead

    wrong, this muguga ni ile iko wangige.
  19. YoungD

    Gathanga Success

    hapo umeanguka baba, mimi ni fossil. 1982 nilikuwa nakula muthere!
  20. YoungD

    Gathanga Success

    summary???
Back
Top