@Elgin
2 things, wachana na red maasai kabisa otherwise dec utakuwa hapa ukilia vile bei ni mbaya. pia usikanyange suswa hiyo soko ya mifugo, otherwise broker watakuwa na field day na wewe.(if you must go to suswa, tafuta nguo(matambara na gumboots zimechapa uvae)
Ningekwambia uende soko...