Ubaya niko tao.Kuna mama mwingine alikua na mabati rentals besides her main house.Hakuna mtu alikua anamaliza 2 months hapo.watoi wake walishahepa kitambo.Ile duru huyo mama alikua anapiga usiku bana.Na masauti za glasses na masahani zikianguka.The last time i saw her ni hapo stage ya limuru...